Continúa después del anuncio

    Ninavingi vya kusema wajue
    Ukweli kuhusu mimi
    Umati kwa umati wajue
    Kuhusu mimi

    Yalonikuta wajue
    Porojo wasiamini
    Zaidi waniulize mimi
    Wajue eeh

    Ma radio mbao kwa mtaa zinatangaza
    Habari kwa mtandao zinatapakaa
    Yao ni miduru nimepoteza, nimekuwa teja
    Hali yangu iliumiza ndugu na jamaa
    Amani nikawa sina kwa ukoo wa Rabana
    Eeh Mola wabariki wanaoniombea mema

    Maana nilimiss kucheka
    Muda wote simanzi tu
    Nilimiss kucheka
    Muda wote maswali tu

    Jamani, nashukuru mageni
    Niliyaona mageni
    Nashukuru mageni
    Niliyaona mageni

    Continúa después del anuncio

    Hakuna anayependa kuishi kwenye hali
    Nimekubali ya banga kulewa tena bwi chakari
    Na silaumu walokuzawadi ukawa nami
    Wamefanya msaada nipate na leo niko fiti

    Ma radio mbao kwa mtaa zinatangaza
    Habari kwa mtandao zinatapakaa
    Yao ni miduru nimepoteza, nimekuwa teja
    Hali yangu iliumiza ndugu na jamaa
    Amani nikawa sina kwa ukoo wa Rabana
    Eeh Mola wabariki wanaoniombea mema

    Maana nilimiss kucheka
    Muda wote simanzi tu
    Nilimiss kucheka
    Muda wote maswali tu

    Jamani, nashukuru mageni
    Niliyaona mageni
    Nashukuru mageni
    Niliyaona mageni

    God blessing, am back to life!

    Hakuna anayependa kuishi kwenye hali
    Kwenye maisha kuna mengi nimepitia
    Nafurahi kuwashukuru wote walonisaidia

    Na silaumu walokuzawadi ukawa nami
    Wamefanya msaada nipate na leo niko fiti

    Sijawahi kuona upendo kama huu
    God bless you, am back to life aah!

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión