Hayakuhusu

Ibraah

    Continúa después del anuncio

    Wewe, ah-ah-ah-ah-ah
    Haukutaka kulea, wakati unalelewa
    Lazima uvunjie watu wazima heshima
    Punguza mazea unajifanya una-care
    Wakati umemtelekeza Fahima

    Achana na walokutangulia
    Wakati kesho yako hujui itakwangukia
    Unaweza Wasafi ukatimuliwa
    Na Konde gang ukaja kusign-iwa

    Unashindana na mwanajeshi
    Ambaye vita aliianza baba yako (na hawezi)
    Msalimie kipa la ndezi
    Mwambie hata akikesha kwa sango (hatuhami Mbezi)

    Nyimbo kaimbiwa Kajala
    Karauka na kupwita pwita
    Acha papara aah wee
    Naskia unachimba mikwara
    Hauna chochote wewe buma chakula ah wewe

    Mapenzi ya Konde na Kajala
    Yanakuhusu nini kaka wee (hayakuhusu)
    Hata wakiongea video call
    Na Paula lakini si mwanae (hayakuhusu)

    Continúa después del anuncio

    We njoo ukomae na muziki (hayakuhusu)
    Ona kina Chinga tunahit (hayakuhusu)
    Ah tumeanza jana hatushikiki (hayakuhusu)
    Umeona Sound from Africa haisikiki, imebuma wee

    Mambo ya kuhonga waandishi wa habari
    Nyi mmezoea tunawajua
    Hata YouTube zetu mnapochokonoa
    Si tunawajua, tunawajua

    Kama vipaji mnavyo, sa wivu wa nini?
    Tufanye kazi na tusonge mbele
    Kama vipaji mnavyo, na mnajiamini
    Ya nini sasa kupiga kelele

    Eeh akina Lokole, si wanawapost
    Sababu ndio machawa wao, ndio machawa wao
    Kila siku anawapromote
    Leo asikose ladha, ooh ladha ooh

    Ah chondelei mrudie Fahima ukamtunze mwanao
    Yasiwe ya Mzee Abdul na Nasibu
    Kumbuka kujinyima usimsahau mwanao
    Baadae akutunze usije pata aibu

    Mapenzi ya Konde na Kajala
    Yanakuhusu nini kaka wee (hayakuhusu)
    Hata wakiongea video call
    Na Paula lakini si mwanae (hayakuhusu)

    We njoo ukomae na muziki (hayakuhusu)
    Ona kina Chinga tunahit (hayakuhusu)
    Ah tumeanza jana hatushikiki (hayakuhusu)
    Umeona Sound from Africa haisikiki, imebuma wee

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión