Mapenzi

Ibraah

    Continúa después del anuncio

    No aah, aah
    Mr. Simon
    Aya aah, aah eeh, eh, eh

    Amini unaempenda, naye Ana wake anayaempenda pia
    Na siku zinakwenda aah, aah
    Na hata yule anayempenda, naye Ana wake anayemwita dear
    Haya mapenzi mwana kwenda aah

    Na ni yaleyale mapenzi
    Yalotesa mabibi na mababu hadi leo
    Mie mwenzenu siyawezi
    Ni bora uyashuhudie kwa mwenzio, ama kwa video

    Usione mtu analiaga, ukadhani ni utoto
    Mapenzi yana vingi vituko, nyingi changamoto ona
    Ukimpata anayekuthamini
    Mnatulia na utunze yake heshima
    Ujue ndo kashazama kwa kina wewe

    Continúa después del anuncio

    Ah eeh vipo vya kuvumilia
    Lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza
    Mi ndio maana siyawezi
    Vipo vya kuvumilia
    Lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza
    Mi ndio maana siyawezi

    Aah we penda unapopenda, unapoamini
    Kwamba amani ya moyo wako ipo
    Na ukikosa unachopenda, utapagawa bure
    Hata ufanye matambiko

    Hata ukipenda kweli, hauwezi jua sababu ni siri ya moyo wako
    Hata kama akifeli, atapuuzia ili uteseke tu peke yako
    Ngoswe kitovu cha uzembe, ukipenda huoni
    Na anayempenda hajui, hatambui kama ye ndo ako mbooni

    Hata akisema amechoka, anataka muachane
    We zidi kumpenda tu hivyo hivyo
    Maana mapenzi hayana mwenyewe aah
    Unaweza ukaondoka, ukaenda kupenda pengine
    Napo ukakuta ndivyo sivyo, ukajihisi una mkosi wewe aah

    Ukimpata anayekuthamini mnatulia na utunze yake heshima
    Ujue ndo ukashazama kwa kina wewe

    Ah eh vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi
    Mapenzi yanaumiza, mi ndio maana siyawezi
    Vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi aah eh
    Mapenzi yanaumiza aah (mi ndio maana siyawezi)

    Ibraah, Konde Music Worldwide
    This is Simon, uuh

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión

    Canciones relacionadas