Maumivu

Ibraah

    Continues after the ad

    Ah, ona ye pekee ndo anayetambua
    Yupi anasema ukweli na yupi msiri
    Ah, na asikwambie eti kwamba niko sawa usisikie
    Uwe ndo pacha kwa mbali unanikwaza
    Basi nihurumie marafiki wasifanye unichukie
    Moyo kukataza kwa mbali nawe najikaza, siyawezi

    Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa
    Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya
    Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa
    Unachoniachia ni maumivu kwenye upendo wetu (unachonipa ya kwamba eh-eh)

    (Umeniacha na nani?) Sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri
    (Umeniacha na nani?) Nimekuwa dhaifu inauma na roho
    (Umeniacha na nani?) Hata huruma hauna ah hauna ah-ah
    (Umeniacha na nani?) Nani ihi, ni nani umeniacha na yeye

    Continues after the ad

    Sitaki kuwa Kobe la mchana kipitacho mbele nikakobelea tu
    Na hisia siwezi zidanganya, nimezama nishakuzoea boo
    Mapigo ya moyo yatafeli kweli, isigeuke vita karaba na kirikuu
    Tuliahidi si tutapendana, tutasemaheana sa mbona unaniruka we
    Nawaza kwa mganga nikupige ndele, moyo unaniambia niache kiherehere
    Maana ni hasara, hasara ah
    Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere
    Kifuano utalala, utalala ah-ah

    Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa
    Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya
    Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa
    Unachoniachia ni maumivu kwenye upendo wetu (unachonipa ya kwamba eh-eh)

    (Umeniacha na nani?) Sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri
    (Umeniacha na nani?) Nimekuwa dhaifu inauma na roho
    (Umeniacha na nani?) Hata huruma hauna ah hauna ah-ah
    (Umeniacha na nani?) Nani ihi, ni nani umeniacha na yeye

    Hum-hm, ah oye yeye eh
    Ah chinga ah, Konde Music Worldwide, ah-ah

    Nawaza kwa mganga nikupige ndele, moyo unaniambia niache kiherehere
    Maana ni hasara, hasara ah
    Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere
    Kifuano utalala, utalala ah-ah

    Song details

    Composition:

    Did you see an error?

    Enviar revisão

    Related songs