Wahenga walisema Penzi lamea penye penzi Twendelee kupendana Japo wapo wanaoumia Sasa naiona Sasa naiona dhamani ya mapenzi Kwako mimi Kwako nimedidimia Vile tu tulienzi Hata kwa ugali na bamia Tubembelezane kwa tamu tenzi Hata tunapoikosa mia Vimba mpenzi (vimba) Jidai mpenzi (vimba) Aah tamba mpenzi Vimbaa, vimba Vimba mpenzi wangu eeh (vimba) Jidai beiby wangu eeh (vimba) Aah tamba mpenzi wangu eeh Vimbaa, vimba Pua pua wanaokejeli Chaguo langu mama mama Ukitazama kuwaliko wao ni vituko Furaha Furaha imetambaa kwangu Wao kila siku Msukosuko Wanajijaza masusu Na mambo yasowahusu Tusipuuze zao figisu Vikwazo tusiruhusu Vimba mpenzi (vimba) Jidai mpenzi (vimba) Aah tamba mpenzi Vimbaa, vimba Vimba mpenzi wangu eeh (vimba) Jidai beiby wangu eeh (vimba) Aah tamba mpenzi wangu eeh Vimbaa, vimba Tupendane kwa hali na mali mama Tusiwe kama manenge na mandawa Eeeh maadui wapambane na zao hali Sie malavidavi, malavidavi mama aah Ah subira huleta kilicho mbali Kipendacho moyo ni dawa Eeh mwaiona eeh (mwaiona) Bendera yetu yapepea (mwaiona) Safari yetu yaendelea (mwaiona) Chuki zao twazipotezea (mwaiona) Vimba mpenzi (vimba) Jidai mpenzi (vimba) Aah tamba mpenzi Vimbaa, vimba Vimba mpenzi wangu eeh (vimba) Jidai beiby wangu eeh (vimba) Aah tamba mpenzi wangu eeh Vimbaa, vimba