Mapenzi tu Nimepagawa hamjui Ye kila mara ananifanya silali Namwaza yeye tu Anayeweka roho yangu juu Ana utoto tu Sema uzuri ananipaga asali Mi nailamba tu Na penzi letu ni kama sunna Na ulinzi kama suma Hata akinuna Bado unapendeza mchumba Mkimuona ananichuna Msinionee huruma Cha mtu huliwa na mtu Kutu yake chuma Basi mwambieni nampenda Sawa, sawa, sawa Ah mwambie mi nampenda Yes (sawa), right (sawa), sawa Huo utamu hasa nikiingia Akifungua gate naingia Akipanua neti naingia Na wala sikwepeshi naingia Sina akili ya kuchange idea Hapo hapo nimemng’ang’ania Hapo hapo nimeshikilia Na visokorokwinyo mtaumia, naahaa Kwa hakika haya mapenzi Kusema kweli, yataniua Kwa hakika haya mapenzi Kusema kweli, yataniua Na penzi letu ni kama sunna Na ulinzi kama suma Hata akinuna Bado unapendeza mchumba Mkimuona ananichuna Msinionee huruma Cha mtu huliwa na mtu Kutu yake chuma Basi mwambieni nampenda Sawa, sawa, sawa Ah mwambie mi nampenda Yes (sawa), right (sawa), sawa