Continúa después del anuncio

Mapenzi tu
Nimepagawa hamjui
Ye kila mara ananifanya silali
Namwaza yeye tu
Anayeweka roho yangu juu
Ana utoto tu
Sema uzuri ananipaga asali
Mi nailamba tu

Na penzi letu ni kama sunna
Na ulinzi kama suma
Hata akinuna
Bado unapendeza mchumba
Mkimuona ananichuna
Msinionee huruma
Cha mtu huliwa na mtu
Kutu yake chuma

Basi mwambieni nampenda
Sawa, sawa, sawa
Ah mwambie mi nampenda
Yes (sawa), right (sawa), sawa

Continúa después del anuncio

Huo utamu hasa nikiingia
Akifungua gate naingia
Akipanua neti naingia
Na wala sikwepeshi naingia
Sina akili ya kuchange idea
Hapo hapo nimemng’ang’ania
Hapo hapo nimeshikilia
Na visokorokwinyo mtaumia, naahaa

Kwa hakika haya mapenzi
Kusema kweli, yataniua
Kwa hakika haya mapenzi
Kusema kweli, yataniua

Na penzi letu ni kama sunna
Na ulinzi kama suma
Hata akinuna
Bado unapendeza mchumba
Mkimuona ananichuna
Msinionee huruma
Cha mtu huliwa na mtu
Kutu yake chuma

Basi mwambieni nampenda
Sawa, sawa, sawa
Ah mwambie mi nampenda
Yes (sawa), right (sawa), sawa

Información de la canción

Composición: jay melody

¿Los datos están equivocados?

Envíanos una revisión