Enjoy (feat. Diamond Platnumz)

Jux

    Continues after the ad

    S2kizzy baby
    Hii leo
    Acha tu niwaweke wazi
    Mubaki na mishangao
    Kuhusu haya mapenzi
    Nataka kuvaeleza
    Na leo
    Tena wahiteni paparazi
    Warushe kwa mitandao
    Siyataki mapenzi
    Nataka jipongeza
    Unaemwita your baby

    Kumbe nae ana baby
    Ooh unaemwona kipenzi
    Ni mshenzi hakupendi
    Ama kweli mtihani
    Mambo mengi duniani
    Na mi stress siwezi
    Ooooh siwezi
    Aahh
    Bora ni enjoy (mmmmmh)
    Maisha mafupi ni simple
    Yanini niteseke roho
    Jiunge nami upoze koo
    Bora ni enjoy
    Maisha mafupi ni simple
    Yanini niteseke roho (ooh yanini yanini)
    Jiunge nami upoze koo (mmmh khoo khoo khoo khoo)

    Continues after the ad

    Kama kupendaaa
    Bora nimpende mama yangu (mmmh)
    Kama kupendwaa mimii
    Nitajipenda peke yangu (ooooh)
    Kilichoniponza ufalaaa
    Kujiona simba kumbe swalaaa
    Kazama kwenye penzi uchwalaaa
    Badala ya kusaka miamalaaa
    Ail yoooo oh
    Toka ni date pesa (enhee)
    Sa napendeza (enhee)
    Na tena naenjoy (enhee)
    Na wanangu ma homeboy (enhee)
    Ooooh account inasoma (enhee)
    Na kamwili kananona (enhee)
    We mwenyewe si unaona yani (enhee)
    Ai nasema boraaaa

    Bora ni enjoy (kwiri pi pi pi pi pi pi)
    Maisha mafupi ni simple (kirii ka dakitka)
    Yanini niteseke roho
    (Yanini niteseke rohoo)
    Jiunge nami upoze koo
    (Jiunge na mimi ah)
    Bora ni enioy (kwiri pi pi pi pi pi pi)
    Maisha mafupi ni simple (kirii ka dakitka)
    Yanini niteseke roho (aaahh iveeeeiii ve)
    Jiunge nami upoze koo (jiunge na mimi ah)

    Napenda nikilewa
    Nipande juu va meza
    Minjonjo
    Huku natema kingereza
    Tupande juu ya meza
    Tupande juu ya meza
    Tupande juu ya meza
    Za za za za za
    Bora ni enjoy (kwiri pi pi pi pi pi pi)
    Maisha mafupi ni simple (kirii ka dakitka)
    Yanini niteseke roho (ooh yanini yanini)
    Jiunge nami upoze koo (ooh khoo khoo khoo khoo)
    Kamix lizer

    Song details

    Composition:

    Did you see an error?

    Enviar revisão