Siku Hazigandi

Lady Jaydee

Continues after the ad

Yote mlosema mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Aih! Nimesemwa sana, jamani!
Hamchoki? (Yiih)

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmh mliosema, aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Continues after the ad

Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mh mliosema, aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanani vya ukweli
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwapi tena nafasi
Ooh siku hazigandi, hata mseme mangapi
Kila mtu Ana dhambi, hakuna alie msafi

Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu

Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Song details

Composition:

Did you see an error?

Submit review