Single

Lava Lava

    Continúa después del anuncio

    Miaka ishirini na tatu sasa
    Lava nimekua si mtoto tena
    Nisha pitia mingi mikasa
    Na nimesha jua lipi baya na jema

    Wazazi wanauliza kutwa wanapanda juu
    Etikabla hawajakufa waone wajukuu
    Na mitandaoni kukikucha mashabiki buu
    Mbona unatuyeyusha VIP Shemeji

    Wen do kipenzi cha walimbwende tunaona
    Insta yako DM Imenoma
    Unapendwa wadada kila kona tunaona
    Haa wanashona chingwea musoma
    Wanakuja kwa wingi mbona
    Na mabusu unapigwa tunaona tunaona
    Mpaka unazimia VIP

    Continúa después del anuncio

    Nipo single, wanauliza VIP
    Nipo single, wanauliza VIP
    Nipo single, heee wanauliza VIP
    Nipo single, heee mbona nipo single

    Hum mashabiki wengine visilani
    Hawana dogo
    Wakikuandama jamani
    Kukuzodoa zodo
    ET muangalie Rayvanny
    Yake mikogo
    Analinga na mama Jaidani
    Hawataki shobo

    Eeh! Na wengine hunambia
    Jogoo hapandi mtungi
    Mbona wa kina rukia
    Na kina mbosso kirungi
    Achaga masihara
    Harmonize anajumwaga na Sarah huum
    Jitahidi tafadhari, upate yoyote
    Heee kaza usiwe fala
    Zichange hizo gwala gwala
    Mmilko hamiza na zari
    Kachubu Dangote

    We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona
    Insta yako dm Imenoma
    Unapendwa wadada kila kona tunaona
    Ha! Wanashona chingwea musoma
    Wanakuja kwa wingi mbona
    Na mabusu unapigwa tunaona tunaona
    Mpaka unazimia vip

    Nipo single, wanauliza VIP
    Nipo single, wanauliza VIP
    Nipo single, hee wanauliza VIP
    Nipo single, hee mbona nipo single

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión