Mama Mwenye Nyumba

Macvoice

    Continúa después del anuncio

    Mama mwenye nyumba
    Mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
    (Next Level Music)
    Nusder!

    Mi najiuliza maswali, nihame niende mbali
    Kwa visa unavyonifanyia mama (Mama)
    Mi namlaumu dalali, ndo kaniletea shali
    Mitego imenizidia jama, (Jama eeh)

    Ah ah, kiti kipo hakai
    Akifua akipika nainama
    Mama kiboko, mama kiboko
    Jana kaniletea chai
    Leo kaleta ubwabwa na nyama
    Na kangamoko, na kangamoko eeh

    Anavyonipa mashawishi mwishowe nashindwa jizuia
    Yatanifika mazishi mumewe akinifumania
    Kasema hamfikishi mzee Ana tumbo la bia
    Mama anataka mwichi yaani kisu kikachane pazia

    Aah niue nisiue? Ua!
    Mwanamke wa mtu sumu
    Kuna jela na gesti
    Ndani nyumbani nina majukumu

    Continúa después del anuncio

    Aah niue nisiue? Ua!
    Wasije kunivukia dumu
    Wazee wa vilainishi
    Wakapita Mombasa na Kisumu

    Mama mwenye nyumba
    Mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
    Mama mwenye nyumba
    Mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee

    Nikimpa kodi anakataa, anairudisha eh
    Bill ya maji, bill ya umeme anazirudisha eh
    Nikimamkia anakataa, anajinunisha eh
    Kweli ngo'mbe hazeeki maini anajibebisha eh

    Usiku anagonga milango anakuja tuputupu
    Ananizuga samaki chambo, tucheki movie za rufufu
    Hajui nimetoka jando, ananifosi mabusu
    Nisije nikampa tango nikaishia kisutu

    Nikileta vimada visa, majanga shetani kapandishwa
    Oh mama mama yeah, mama yee
    Hakaukagi kujipitisha, wivu ndo unamkasirisha
    Oh mama mama yeah, mama yee

    Aah niue nisiue? Ua!
    Mwanamke wa mtu sumu
    Kuna jela na gesti
    Ndani nyumbani nina majukumu

    Aah niue nisiue? Ua!
    Wasije kunivukia dumu
    Wazee wa vilainishi
    Wakapita Mombasa na Kisumu

    Mama mwenye nyumba
    Mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee
    Mama mwenye nyumba
    Mwenye nyumba, mama mwenye nyumba utaniua wee

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión