Sikuachi

Macvoice

    Continúa después del anuncio

    Tuturu-tututuru
    Tuturu-tututuru
    Tuturu-tututuruuu
    (Sound boy)

    Napenda ivyo vidimple ohh
    Na zuri lako tabasamu
    Kwanza uko simple ohh
    Kuwa nawe siishi hamu
    Yametimia maandiko baby
    Penzi letu sio haramu
    Navimba nimepata jikoo
    Mwenzenu nalishwa vitamu
    Unapendeza ukilala

    Nzuri yako color
    Sifa kwa mama alo kuzaa
    Mungu anahumba eeh
    Nawe umeumbika aaah
    Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
    Unanifariji mama, nikiwa nauzuni
    Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maa ah)

    Continúa después del anuncio

    Tena unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote baby
    Sikuachi
    Acha iwaume roho
    Sikuachi
    Acha iwaume roho (acha iwaume roho)
    Hmm mm
    Kwanza naanzaje?
    Kukuacha wewe baby naanzaje?
    Nambie, naanzaje?
    Kuwa mbali nawe baby naanzaje?

    Wewe ni tabibu n'kiwa nawe napona
    Sipepesi macho naona
    Baby baby naona
    Nakesha ka' popo kisa kulilinda penzi langu
    Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu
    Najua watanuna (hmm) na hili litawachoma (hmm)
    Ila bado watatuona, honey honey honey wee

    Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
    Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we
    Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maa ah)
    Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we
    Sikuachi (no siondoki kwako mmh)
    Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah)
    Sikuachi (baby sikuachi mazima)
    Acha iwaume roho (yiih mm)

    Información de la canción

    Composición: Macvoice

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión