Tamu (feat. Rayvanny)

Macvoice

    Continúa después del anuncio

    Tamu, Tamu (Eiyoo Trone)
    Tamu, Tamu (Ayo Lizer)

    Sura tisi chocolate
    Kidoti joketi katoto ni keki (ehh)
    Nitamwaga bajeti, nikape tiketi
    Kunipeti peti (ehh)

    Eh ulivyojazia ukinisusia itanizidia, eeh
    Nang’ang’ania sitokuachia unanipatia, eeh

    Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
    Shah Rukh Khan, Kajol
    Tucheze kuchikuchi kwenye mapori
    Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
    Shah Rukh Khan, Kajol
    Tucheze kuchikuchi kwenye mapori

    Aramba (Tamu)
    Ah aramba tena (Tamu)
    Oh aramba (Tamu)
    Ah aramba tena (Tamu)

    Ah aramba (Tamu)
    Ah aramba tena (Tamu)
    Oh aramba (Tamu)
    Ah aramba tena (Tamu)

    Chui!
    Vanny Boy, no no no no no

    Continúa después del anuncio

    Alamba ta-mu tamu napenda ukita-basamu
    Unavyonipa kwa mashamu
    Mashamu
    Hujaniita naka-mukamu

    Nitachuchumia na kuning’inia
    Nimekupa nia hiyoo
    Nitakusugulia ka' steel wire
    Na masufuria, yoh

    Nikisimama we lala, tamu tamu
    Nipe nguru sangara, tamu tamu
    Ukikamata munara, tamu tamu
    Nitulize papara, tamu tamu

    Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za Mori
    Shah Rukh Khan, Kajol
    Tucheze kuchikuchi kwenye mapori
    Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za Mori
    Shah Rukh Khan, Kajol
    Tucheze kuchikuchi kwenye mapori

    Alamba (Tamu)
    Ah alamba tеna (Tamu)
    Oh alamba (Tamu)
    Ah alamba tena (Tamu)

    Ah alamba (Tamu)
    Ah alamba tena (Tamu)
    Oh alamba (Tamu)
    Ah alamba tena (Tamu)

    Nimеshakupa seat, ukae mwenyewe ujinafasi
    Siwezi kukucheat, basi niamini ondoa wasi
    Mi ni mfungwa kwenye jela yako, nifungwe milele, milele
    Kweli pombe ya mapenzi yako, niacheni nilewe, nilewe

    Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
    Shah Rukh Khan, Kajol
    Tucheze kuchikuchi kwenye mapori
    Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
    Shah Rukh Khan, Kajol
    Tucheze kuchikuchi kwenye mapori

    Alamba (Tamu)
    Ah alamba tena (Tamu)
    Oh alamba (Tamu)
    Ah alamba tena (Tamu)

    Ah alamba (Tamu)
    Ah alamba tena (Tamu)
    Oh alamba (Tamu)
    Ah alamba tena (Tamu)

    Ka mix Lizer!

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión