Najua Hutaniacha

Makena

Continúa después del anuncio
Tono:
Am F C G [Verse 1]
Am F Nilikuwa natafuta rahisi,
C G Atakaye kuwa wa kudumu
Am F Nilikuwa nimekosa tumaini
C G Kwani binadamu wabadilika kama kinyonga [Refrain]
Am F Tangu nikupate Yesu, sitafuti
C G tena upendo wako unanipa nguvu
Am F C Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani
G nitaogopa nini eeeh [Chorus]
Am Najua hutaniacha, pawe na shida
F pasiwe
Continúa después del anuncio
C G Wewe ni mwaninifu milele
Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe
C G Wewe ni mwaninifu milele,
Am F C G Milele,milele,milele.....
Am F C G Taratatata [Verse 2]
Am F Tena nikapata, marafiki kadhaa
C G Punde shida ilipoingia nao waliondoka
Am F Nikalia mpaka nilipokumbuka
C G Kuwa kuna rafiki asiye badilika [Refrain]
Am F Tangu nikupate Yesu, sitafuti
C G tena upendo wako unanipa nguvu
Am F C Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani
G nitaogopa nini eeeh [Chorus]
Am Najua hutaniacha, pawe na shida
F pasiwe
C G Wewe ni mwaninifu milele
Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe
C G Wewe ni mwaninifu milele,
Am F C G Milele,milele,milele.....
Información de la canción

Composición:

¿Los datos están equivocados?

Enviar revisión