Najua Hutaniacha
Makena
- Am
- C
- F
- G
Continúa después del anuncio
Tono:
Am F C G [Verse 1]Am F Nilikuwa natafuta rahisi,C G Atakaye kuwa wa kudumuAm F Nilikuwa nimekosa tumainiC G Kwani binadamu wabadilika kama kinyonga [Refrain]Am F C G Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena upendo wako unanipa nguvuAm F C G Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani nitaogopa nini eeeh [Chorus]Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiweContinúa después del anuncioC G Wewe ni mwaninifu mileleAm F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiweC G Wewe ni mwaninifu milele,Am F C G Milele,milele,milele.....Am F C G Taratatata [Verse 2]Am F Tena nikapata, marafiki kadhaaC G Punde shida ilipoingia nao waliondokaAm F Nikalia mpaka nilipokumbukaC G Kuwa kuna rafiki asiye badilika [Refrain]Am F C G Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena upendo wako unanipa nguvuAm F C G Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani nitaogopa nini eeeh [Chorus]Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiweC G Wewe ni mwaninifu mileleAm F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiweC G Wewe ni mwaninifu milele,Am F C G Milele,milele,milele.....