Nakuachaje

Malkia Karen

    Continues after the ad

    Ah mzee mwenzangu
    Kwa pigo zako
    Kila mtu atakung'ang'a

    Ushachukua moyo wangu
    Uko nao kwako
    Ona nimeshajifia
    Uliponiroga karoge tena
    Mana nainjoy
    Sisikii la shari wala la wema
    Sipumui sikohoi

    Yalosemwaga Kumbe niyakweli
    Kwamba subira ndo huvuta heri
    Umenifanya nisivute fegi sheli
    Waambie hapauzwi
    Ogopa matapeli weh!

    Kwa raha nazozipata (Nakuachaje sasa)
    Eh baba we!
    Kwa starehe nnazozipata
    Ehh aahh weh!
    Na waseme na waseme na waseme
    Watajua wenyewe
    Acha Waseme na wasemeee Mh

    Continues after the ad

    Ilibaki Kidogo mapenzi yangenishinda
    Olooh oh
    Kumbe ningekukataaa ah
    Ningekua mjinga
    Eeh!

    Yalosemwaga Kumbe niyakweli
    Kwamba subira ndo huvuta heri
    Umenifanya nisivute fegi sheli
    Waambie hapauzwi
    Ogopa matapeli weh!

    Kwa raha nazozipata (Nakuachaje sasa)
    Eh baba we!
    Kwa starehe nnazozipata
    Ehh aahh weh!

    Kwa Mfano ukinihonga gari
    (Nakuachaje Sasa)

    Ehh Baba we
    (Nakuachaje Sasa)
    Unipe Hati nyumba ya masaki
    (Nakuachaje Sasa)
    Eeh Baba weh
    (Nakuachaje Sasa)

    Kila shughuli unkatie kijora
    (Nakuachaje Sasa)
    Na kila wili unlipie kikoba
    (Nakuachaje Sasa)
    Nikikucheat unisamehe
    (Nakuachaje Sasa)
    Ukinipa Password zako
    (Nakuachaje Sasa)

    Eeh Meneja Zack Msalimie Star Jay Eeh
    Yalosemwaga Kumbe ni ya kweli
    Kwamba subira ndo huvuta kherii

    Song details

    Composition:

    Did you see an error?

    Enviar revisão