Love Song

Marioo

    Continúa después del anuncio

    Ooooh
    Ooooh
    Yeah
    Mmmmh
    Mmmmh
    Mmh (let's vibe)

    Nipende sana mi nataka wale
    Walo sema kwamba utaniacha wanune
    Tupendane yani mpaka wale
    Wanaosubiri tuachane wachunde
    Acha wakae vikao wamalize waganga
    Yanawashinda ya kwao waone kama
    Waganga
    Hao hao

    Hatuli hatulali kwao unawa ponza uganga
    Huoni hata sura zao mbaya
    Wana nitaka mi siwataki nakutaka wewe tu
    Wakinifata nakimbia nakufata wewe tu
    Asa ukitaka mi nilie amua wewe tu
    Ama nitoke hadharani niseme

    I love you
    I love you
    I love you
    I love you
    Oooh
    Mmmh yeah ooh
    Aiiiii

    Continúa después del anuncio

    I loove yoouu
    Ouoooh
    Oouoh
    Ndagukunda
    Je t'aime
    Te amor
    Te quiero
    Jeg elsker deg

    Honey, ich liebe dich nakupenda
    Kila siku nikikuona nakuona mpya
    Kila siku nikikuona nakuona we mzuri wewe
    Kila mara yako wewe naona tamu tamu
    Hapa bado namuomba mungu wa mwisho uwe ni wewe
    Wanao nitaka mi siwataki nakutaka wewe tu

    Wakinifata nakimbia mbio nakusaka wewe tu
    Hata ukitaka mi nilie utaamua wewe tu
    Hata ukitaka nitoke hadharani nitangaze yakwamba

    I love you
    Ooh
    I love you uuh i love you
    I love you
    I love you bora niseme you know i love you

    I love you
    Oooh! Yeah
    Ooooooh
    I love you
    Ooooh ooh
    Mmmh yeah
    The mix killer

    Información de la canción

    Composición: Marioo

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión