Kata

MATATA

    Continúa después del anuncio

    Ni birthday, ni party, ni yako
    Na maji tunakata juu yako
    Ma cookie na ma keki ni zako
    We kam tu na Caro, pitanga uki

    Kata, kata
    Kata kairetu kata
    Kata usiogope
    Leo tuna partee
    Watuokote

    Leo leo, leo ni leo leo
    Ile siku, Dudu hugeuka, kipepeo
    Ile siku paka huswing na kibembeo
    Ile siku hadi dogi zi huwika weaw meaw
    Nina doo za kuthrow form ni how how
    Mr luku luku swag ya ki bow wow
    Sio masoo ni mangire mathao thao
    It's your bash make a wish blow my candle

    Nimecome na zawadi, kila aina
    Macologne na ma cladi za Designer
    Kabla twende bash kwanza Twende diner
    Machapo machipo na take out za ki China
    Alafu leo Dunga zile zina bana
    Zenye mafisi wakiona, Yes bana
    Alafu tip toe kidogo sio sana
    Mwambie aliye kuzaa tumesema asante sana

    Continúa después del anuncio

    Ni birthday ni party, ni yako
    Na maji tunakata juu yako
    Ma cookie na ma keki Ni zako
    We kam tu na caro, pitanga uki

    Kata, kata
    Kata kairetu kata
    Kata usiogope
    Leo tuna partee
    Watuokote

    Kairetu ka ni keki kata
    Nakupata party umedunga Bata
    Unakataa maji we ni drunken master
    Kiuno spaghetti na mimi ni pastor
    Githeri ya Mary wa Nyeri (ah)
    Sherehe na Njeri Ndumberi (ah)
    Puliza candle wish i-come true
    Peng ting me na handle age ni number tu

    Sijaitwa bash nimekam kimangoto
    Zikishika nakwama kiroboto
    Na mzinga mi si buy mi si msoto
    Ka ni ngori sijajaa juu ya toto
    Wanapiga mboto matata kwa mtaa
    Nashinda loto nabado anakataa
    Leta champagne na chupaa za Belaire
    Dufo mpararo leo tunaogelea

    Ni birthday ni party, ni yako
    Na maji tunakata juu yako
    Ma cookie na ma keki Ni zako
    We kam tu na caro, pitanga uki

    Kata, kata
    Kata kairetu kata
    Kata usiogope
    Leo tuna partee
    Watuokote

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión