Alele

Mbosso

    Continúa después del anuncio

    Hhhhmm
    Oooh ooooh oh!
    Iyooo lizer
    Hhhmm

    Nyama zetu za ulimi
    Zikikutana asali
    Bonyea chini
    Chagama kama tayari
    Leo tule nini
    Mihogo ya coco kwa kachumbari
    Si unanjuaga mimi
    Kitandani huwa hodari
    Kama umeniroga (aaaah eeh)
    Mganga wako fundi mama
    Ameniweza (nilichomeza me sijatema)
    Chumvi kwa kikogwa
    Wali maini ndizi nyama
    Umenilegeza (ukinigusa tuu natetema)

    Nikishuka kifuani baby
    Naomba nipate supu
    Ya nyama laini kama mapupu
    Yale ya gizani baby
    Nje tusiyaruhusu
    Kwa majirani
    Wambea wakina lufufu

    Continúa después del anuncio

    Hhhhmm uuh
    Aaah ah
    Alele lele
    Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
    Alele lele
    Hhhhmm uuh
    Aaah ah
    Moyo wangu udongo umong'ong'onyoe
    Alele lele

    Asubuhi niamshe
    Kabla ya kwenda kazini jogging
    Kijasho kitoke
    Ukihisi nachoka piga firimbi
    Ooh unikamate
    Kama nayumba shika ngingingi
    Wachefukwe mate
    Maembe mabichi uwape mbilimbi
    Utamu wangu mimi
    Waujua wewe
    Penzi tubane na pini
    Iwe siri yetu wenyewe
    Muhindi wa kusini
    Mwenye mapenzi tele
    Kibiti hakuna madini
    Tukawinde tetele

    Nikishuka kifuani baby
    Naomba nipate supu
    Ya nyama laini kama mapupu
    Yale ya gizani baby
    Nje tusiyaruhusu
    Kwa majirani
    Wambea wakina lufufu

    Hhhhmm uuh
    Aaah ah
    Alele lele
    Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
    Alele lele
    Hhhhmm uuh
    Aaah ah
    Moyo wangu udongo ung'ong'onyoe
    Alele lele

    Hhhmm
    Kesho twende mbagala kwa mama eh
    Aaaaah eeh aaah eh
    Sio mbali twende hata baade
    Aaaaah eeh aaah eh
    Baby tafadhali fanya ujiandae
    Aaaaah eeh aaah eh
    Kumbuka baibui kimini usivae
    Aaaaah eeh aaah eh
    Upajue nyumbani baby
    Aaaaah eeh aaah eh
    Na wakujue nyumbani baby
    Aaaaah eeh aaah eh
    Aaaaah eeh aaah eh

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión