Baikoko

Mbosso

    Continúa después del anuncio

    ayo laizer
    kako fine
    kila ninikaweka kwenye line
    (bilabila)
    shuwaini
    kwake nimelewa kama wine
    (tilalila)

    baby acha unachezaga (baikoko)

    ye sisimizi nami gegedu
    tuna gegeduana
    nilivyo sina jinsi
    tajiri wa mbegu
    namuhonga na mwana

    baba mndenge mama mzaramo
    uno lake la kurithi
    kafunga tenge mwali chakalamu shetani mwana ibilisi

    jipuu (jipu)
    uchungu (uchungu)
    mwana nyuma umejaza
    kishundundu

    kwenye zipu (zipu)
    kuna kirungu (kirungu)
    usikamate utawaita wazungu

    eeh heeh
    babu mkuna nazi aah haah achutama kishinani
    na msuli wake upo wazi
    mambo yote hadharani

    go! go! go! go! goal
    mtoto anadaka
    goli kipa runya mira (wabeja)
    tena akikata anaitikisa sababu

    Continúa después del anuncio

    baby acha unachezaga (baikoko)
    unavyo baby (baikoko)
    unavyoinyonga (baikoko)
    eeh waonyeshe (baikoko)

    baby acha unachezaga (baikoko)
    unavyo baby (baikoko)
    unavyoinyonga (baikoko)
    eeh waonyeshe (baikoko)

    asa komesha dengua! dengua
    baby dengua! dengua
    ringa dengua! dengua
    deka dengua! dengua wakuone

    kanivua ndala miguu
    anataka nipite peku (peku peku)
    kunduchi juu anifikishe kwetu
    (kwetu kwetu)

    embu tamu ladha ya kitumbua
    rojo ya embe kibada! kibadah
    hodari kunengua
    miuno ya ushubwada (shubwadah)

    nyuma kalisasambua
    kafungasha midabwada (bwaadah)
    anavyo tafuna mua
    ka kibogoyo dada!

    katoto kamelainika kwala (kwala)
    kapo kama ndizi banana (nana)
    nitakapeleka kwa mama (mama)
    mama dangote

    kama kuku twakimbizana (zana)
    kana ibuka kana zama (zama)
    kamwili kana balaa na lana (lana) lana kazote

    ebooh! mtoto anadaka
    goli kipa ronya mira (wabeja)
    tena akikata anaitikisa sababu

    baby acha unachezaga (baikoko)
    unavyo baby (baikoko)
    unavyoinyonga (baikoko)
    eeh waonyeshe (baikoko)

    baby acha unachezaga (baikoko)
    unavyo baby (baikoko)
    unavyoinyonga (baikoko)
    eeh waonyeshe (baikoko)

    asa komesha dengua! dengua
    baby dengua! denguagua
    ringa dengua! dengua
    deka dengua! dengua wakuone

    kama anaifata
    anaima anainuka mwali anaifuata
    kwakujishebedua
    anainama anainuka mwali anaisusa

    kama hataki mwaache
    anaima anainuka mwali anaifuata
    kwa madoidoi
    anaima anainuka mwali anaifuata
    (brrrok)

    (ka-mix layzer)
    (wasafi)

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión