Hamjui kupenda Kutwa mwaumiza eeh Na umenipa donda Nashindwa uguza eeh Kama ingekuwa tenda Ningeshafukuzwa eeh Ona furaha yangu imegeuka chozi Ona leo natamani Ile michezo ya chumbani Mara sweet mara honey Kumbe ilikuwa sinema ooh jamani Penzi liko rehani Nishapoteza na imani We niache niende eeH Uliniona kolo (kolo kolo ooh) Ulikosa kipi ukaniacha solo (solo solo ooh) Hauridhiki eti mi ndombolo (ya solo solo ooh) Nigeuke muziki ukanigeuza kiporo (eh, eh) kiporo Wala sitamani (aya wee aya) Uwenda we sio fungu langu (aya wee aya) Bora nibaki pekeyangu (aya wee aya) Uwenda we sio fungulangu (aya wee aya) Kaa mbali na akili yangu Yapo mengi ya kukatisha tamaa ah Nilivumilia ilimradi niwage na wewe Baba aah Vituko vingi na fujo kara aah Nilipuuzia ili tu niishi na wewe Una kisirani Ndani ya nyumba tafarani Vurugu katuko vitani unanionea aah We mwanaume gani hasira Zaidi Ya shetani acha niweke begi begani Maana utanuia aah Uliniona kolo (kolo kolo ooh) Ulikosa kipi ukaniacha solo (solo solo ooh) Hauridhiki eti mi ndombolo (ya solo solo ooh) Nigeuke muziki ukanigeuza kiporo (eh, eh) kiporo Wala sitamani (aya wee aya) Uwenda we sio fungu langu (aya wee aya) Bora nibaki pekeyangu (aya wee aya) Uwenda we sio fungulangu (aya wee aya) Kaa mbali na akili yangu Uwenda we sio fungu langu (aya wee aya) Bora nibaki pekeyangu (aya wee aya) Uwenda we sio fungulangu (aya wee aya) Kaa mbali na akili yangu