duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine jina yesu likitajwa nainama nainama mwamba imara kwako niko salama nikupe nini mungu usiyeshindwa mwamba imara kwako niko salama nikupe nini mungu usiyeshindwa jina lako yesu limeshinda yote nikipata yesu nimepata yoote mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine jina yesu likitajwa nainama nainama nainama nainama wakati wa dhiki, wewe ndiwe faraja wakati wa kilio wewe ndiwe furaha unanijua baba siwezi jificha macho yako baba yako kila pahali jina lako yesu limeshinda yote nikipata yesu nimepata yooote mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) niwe niwe niwe duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine jina yesu likitajwa nainama nainama nainama nainama