Continúa después del anuncio

    S2kizy, baby

    Asubuhi na muhogo
    Mchana kutwa na muhogo
    Usiku pia na muhogo
    Ki kweli ninapenda penda

    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo

    Mizuri kwa kutafuna, ukipata mibichi mibichi
    Aswa iliyotuna sio vinjiti vinjiti
    Nakula kwa kujikuna utamu fitcaly kit
    Hogo la Mwanza la kisukuma kwa bed kwenye kiti
    Ya koko ama upate mwogo wa jangombe
    Kimoko kisha nashushaga na monde
    Ninatumia, nawatumia yan sana sana
    Nywele India na Peluvian yan kama kama (Aristote)
    Vitu kww wingi (wingi wingi)
    Laini huku umezaa
    Upate mbilimbi (limbi, limbi)
    Na chumvi chombeza
    Nasikia uwoya na madamu wema wamegombana kisa (muhogo)
    Hoya hoya masimango na vijembe insta (muhogo)

    Continúa después del anuncio

    Asubuhi na muhogo
    Mchana kutwa na muhogo
    Usiku pia na muhogo
    Ki kweli ninapenda penda

    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo

    Sitaki unibanie, wala kunikataza kataza
    Napenda nishikilie chachandu kupakaza pakaza
    Nikila lazima nilie, sipendi kunyamaza nyamaza
    Muhogo kiboko ya mie, kizungu ni kasava kasava
    Gari gari, nyumba kali, mbele party sababu ya (muhogo)

    Waliyowadogo et nao wanajiita wanadanga
    Wanakula mihogo hawamiliki hata vitanda
    Futa kwa wingi (wingi wingi)
    Laini huku umezaa
    Upate mbilimbi (limbi, limbi)
    Na chumvi chombeza
    Nasikiaga Zari mdam hero waligombana kisa (muhogo)
    Hoyahoya masimango na vijembe insta (hogo)

    Asubuhi na muhogo
    Mchana kutwa na muhogo
    Usiku pia na muhogo
    Ki kweli ninapenda penda

    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo
    Muhogo, muhogo

    S2kizy

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión