Basi gusa changu kiuno Nami nitulie Bila mfupa Nnavyokata Lazima usimulie Weka nukta shika hapa Na mimi niugulie Kama Guta sema popote Mwenzako niikalie Naitakasa nafsi na roho darling We ndoo yangu khabari Kwa wengine sina Habari Umenionjesha asali Nimewaka ka kibatali Uno hadi juu ya dali Niongoze nkuhonge ka gari Kandamiza huo msumari Me napenda ukinishikagaa (enhee) Unanitouch touch touch (enhee) Unanimaliza (enhee) Sema nikushike wapi enhee) Me napenda ukinishikagaa (enhee) Unanitouch touch touch (enhee) Unanimaliza (enhee) Sema nikushike wapi enhee) Kwako nimekuwa Zuzu Tena siwezi ganduka Sijui umenipa juju Nikikuona napandwa mizuka Me nasema waziwazi Mwenye wake aje amchukue Utamu wa wali nazi Nasema vya ndani usisimulie Meli imeweka nanga Me ndio wake mahabuba SIendi kwa mganga Sijawahi kumloga Naitakasa nafsi na roho darling We ndo yangu khabari Kwa wengine sina Habari Umenionjesha asali Nimewaka ka kibatali Uno hadi juu ya dali Niongoze nkuhonge ka gari Kandamiza huo msumari Me napenda ukinishikagaa (enhee) Unanitouch touch touch (enhee) Unanimaliza (enhee) Sema nikushike wapi enhee) Me napenda ukinishikagaa (enhee) Unanitouch touch touch (enhee) Unanimaliza (enhee) Sema nikushike wapi enhee) Baby Uutamu kolea (Utamu) Utamu kolea (Nimenogewa) Uutamu kolea (Yani tama sana) Utamu kolea Hasa baby niongeze (Utamu kolea) Nishike na hapa (Utamu kolea) Na kajicho nilegeze (Utamu kolea) Nikanyage kama rapa (Utamu kolea)