Continues after the ad

    Unasema unanipenda unangapi
    Ndo vile ulinambia unaishi wapi
    Pesa huma, una magari mangapi
    We yako mapozi tu
    Sa nikupeleke wapi

    Basi imba nikusikie
    Pengine utanivutia aaaah
    Cheza kidogo ohoo ohoo
    Imba nisikie
    Pengine utanivutia aah
    Imba kidogo hee iyee

    Acha niwaze (wazee)
    Acha nikufikirie (wazee)
    Acha niwaze (wazee)
    Ohoo ohoo ooh
    Acha niwaze (wazee)
    Acha nikufikirie (wazee)
    Acha niwaze (wazee)
    Lipi niamue

    Continues after the ad

    Kitambo sina mkwanja unajua
    Yaani kama mgambo gwanda langu sijivua!
    Mapepe nishatupa kuleee kuleeee
    Tangu enzi za shule kuee
    Vicheche nishatupa kule kuleeeee
    Nimekuchagua wewe uwe wangu nisikize
    Wa milele tafadhari usiniumize!

    Acha niwaze (wazee)
    Acha nikufikirie (wazee)
    Acha niwaze (wazee)
    Ohoo ohoo ooh
    Acha niwaze (wazee)
    Acha nikufikirie (wazee)
    Acha niwaze (wazee)
    Lipi niamue eeeh hee

    Yaani hata japo nikikujua jina kwangu sawa
    Ila usizidishe ukaja nitoa dinner nitapagawa
    Me mwenzako uvumilivu sina we hayaa
    Nitakuganda kama ruba niwe wako Chawa
    Kweli mapenzi ninayo
    Pesa na mali sinaa aha
    Ila ni maisha yapitayo
    Kesho ntakua na jina jivungie
    Urembo umepitiliza mungu kakubariki aiseee eehh iiih
    Sijaona bee kama wewe haki yanani aiseee eeeh iyeee

    Acha niwaze (wazee)
    Acha nikufikirie (wazee)
    Acha niwaze (wazee)
    Ohoo ohoo ooh
    Acha niwaze (wazee)
    Acha nikufikirie (wazee)
    Acha niwaze (wazee)
    Lipi niamue eeehhh hee

    Hee eeyee
    Basi imba nikusikie pengine
    Utanivutia aahh aa aah
    Cheza kidogo ooh ohoo oo
    Imba nisikie pengine utanivutia
    Imba kidogo eeeh iyeah

    Song details

    Composition:

    Did you see an error?

    Enviar revisão