Kuliko Jana

Sauti Sol

    Continúa después del anuncio

    ana ni mwokozi wangu
    tena ni kiongozi wangu
    ananipenda leo kuliko jana
    baraka zake hazikwishi
    si kama binadamu habadiliki
    ananipenda leo kuliko jana
    kuliko jana
    kuliko jana
    yesu nipende leo kuliko jana
    kuliko jana
    kuliko jana
    yesu nipende leo kuliko jana
    nakuomba mungu uwasamehe
    wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
    na maadui wangu nawaombea maisha marefu
    wazidi kuona ukinibariki
    ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
    walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
    ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
    walimsulubisha yesu messiah bila kusita
    ooh, na
    bwana ni mwokozi wangu
    tena ni kiongozi wangu
    ananipenda leo kuliko jana
    baraka zake hazikwishi
    si kama binadamu habadiliki
    ananipenda leo kuliko jana
    kuliko jana
    kuliko jana
    yesu nipende leo kuliko jana
    kuliko jana
    kuliko jana
    yesu nipende leo kuliko jana
    wewe ndio nategemea
    kufa kupona baba nakutegemea (amen)
    chochote kitanikatsia
    kuingia mbinguni utaniondolea (ooh-ooh, yeah)
    wewe ndio nategemea (amen)
    kufa kupona baba nakutegemea (oh-oh)
    chochote kitanikatsia
    kuingia mbinguni utaniondolea (eh, wewe ndio nategemea)
    wewe ndio nategemea
    kufa kupona baba nakutegemea (eh, bwana)
    chochote kitanikatsia
    kuingia mbinguni utaniondolea (eh, maisha yangu yote)
    wewe ndio nategemea (kwa nguvu zangu zote)
    kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
    chochote kitanikatsia
    kuingia mbinguni utaniondolea (oh-oh-oh-oh)
    na bwana ni mwokozi wangu
    na tena ni mkombozi wangu
    ananipenda leo kuliko jana
    baraka zake hazikwishi
    si kama binadamu habadiliki
    ananipenda leo kuliko jana
    kuliko jana (kuliko jana)
    kuliko jana
    yesu nipende leo kuliko jana
    kuliko jana (kuliko jana)
    kuliko jana (kuliko jana)
    yesu nipende leo kuliko jana
    wewe ndio nategemea (wewe)
    kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
    chochote kitanikatsia (uh-huh)
    kuingia mbinguni utaniondolea
    wewe ndio nategemea (ooh)
    kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
    chochote kitanikatsia
    kuingia mbinguni utaniondolea
    na bwana ni mwokozi wangu (amen)
    tena ni mkombozi wangu (amen)
    ananipenda leo kuliko jana (amen)
    baraka zake hazikwishi (amen)
    si kama binadamu habadiliki (amen)
    ananipenda leo kuliko jana (amen)
    kuliko jana
    kuliko jana
    nipende leo kuliko jana

    Continúa después del anuncio
    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión