Juu (feat. Jux)

Vanessa Mdee

    Continues after the ad

    Kuna muda mi nashindwaa aah
    Kufanya vitu vingi kwako natamani kutimiza, mmh
    Ila moyo
    Unajua jinsi gani navyotaka kwenda sawa na wewe
    Ila moyo
    Unajua jinsi gani navyotaka kwenda sawa na wewe

    Na usione kama navunja yako heshima
    I've been thinking about you all day
    Na usione na dharau sababu ya jina
    I've been thinking about you only baby

    Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
    Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu
    Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
    Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu

    Upendo wetu ndio muhimu, kuwa pamoja mimi na wee
    Usije nipa wazimu, kisa nakupenda wee
    Ila jua nafsi yangu (unayo wewe)
    Na kila kitu changu (ni chako wewe)
    Naah umia naumia Vanessa Mdee, ukienda nitaumia
    Na usione kama navunja yako heshima (yeah)
    Na usione na dharau sababu ya jina (yeah)

    Continues after the ad

    Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
    Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu
    Aah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
    Aah nikipata umepata, baby tunakwenda juu

    Aah mama mia
    Nakupenda Juma weeh
    Ukiniacha nitalia (yeah)

    Sambaza me and you, you, everything we do do
    You my baby boo boo, is just me and you, you
    Forever me and you, you, everything we do do
    You my baby boo boo, is just me and you, you

    I'm thinking about you, you, everything you do do
    Only about you, you, ooh my baby you, you
    I'm thinking about you, you, ooh my baby boo boo
    Only about you, you, you, you

    Nikipata umepata, mama tunakwenda juu baby
    Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee)
    Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee)
    Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee)
    Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee)
    Yoou
    Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilikee)

    Song details

    Composition:

    Did you see an error?

    Enviar revisão