Vigelegele

Willy Paul

    Continúa después del anuncio

    Uhuhu willy willy willy msafi
    Noma moto ngoma noma yani kali
    Msela kali ngoma noma mhh (Teddy B)
    Aa nana nanananana nananaaii nanananai

    (Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali)
    (Vigele)
    (Vigele)
    Nakuonya we nyambura usijaribu nikaribia
    Ata na wewe anyango
    Nimeshaonyeshwa nia yako

    (Wataka kuniweka chini
    Futi kumi na mbili
    Nimekosa nini2)
    Mapenzi yangu ni ya mwenyezi
    Noma ngoma noma
    Yani kali msela kali
    Ngoma noma noma sana (lego)
    Aa nanananai nananai
    Nanananai nanananai

    Continúa después del anuncio

    (Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali)
    (Vigelege)
    (Vigelege)
    Mi awilly a awilly
    Nimekosa nini a awilly
    Simuniwachane a awilly
    Nimusifu Mungu a awilly
    Ye ndiye baba a awilly

    (Ziing) mwanisema mimi i
    Nimekosa nini i
    Mwataka kuniweka chini i
    Futi kumi na mbili i
    Nimekosa nini i
    Mapenzi yangu ni ya mwenyezi
    Noma ngoma noma yani kali
    Msela kali ngoma noma noma sana leego
    Nana nananai nananai
    Nanananai nananai

    (Wacha nisifu baba
    Nimwabudu nani jalali)
    (Vigelege)
    (Vigelege)
    Mhhhh kwa masela wote wanapendamola
    Nipe mikono juu tumsifu mola
    Tusifu sana mhh
    Noma ngoma noma
    Yaani moto ya zambe
    Noma ngoma noma
    Yani noma noma sana msela kali ngoma kali aha oho aha, aha

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión