Kiuno

Yammi

    Continúa después del anuncio

    Namkisikia nimeumwa nimelazwa nimekonda nime dead
    Yale mapenzi
    Namkisikia ameumwa amelazwa amekonda amedead
    Yale mapenzi
    Namsiulize kwangu amefuata nini
    Ni nyama kwa nyama maini
    Nimezama kina mpaka chini
    Na navyodeka sijui ntamwacha lini

    Na pengine
    Ye ndo anafanya niwe loyal
    Mahaba yake yananichanganya
    Staki mwingine
    Yeye ashanitouch kwenye moyo
    Midomo yake akinikiss mwa

    Si anapendaga kiuno kanipa mama
    Kanipa mama kanipa mama
    Na mi napenda shoo kampa baba
    Kampa baba kampa baba
    Anachopendaga kanipa mama
    Kanipa mama kanipa mama
    Ninachopendaga kampa baba (baba oh)
    Kampa baba (baba oh) kampa baba (baba oh)

    Continúa después del anuncio

    Kinachofuata mchana tunakiwasha
    Usiku tunazima ta
    Yaani ta ta ta
    Na mimi hapa
    Nampa anachokitaka
    Sindimba chakacha
    Yaani ta ta ta
    Alooo, my baby mwenzako nyang'a nyang'a
    You know we ndo my sweety banana nana
    Baisho I love you baby ooh na, na, na
    I am in love unanicontrol

    Na pengine
    Ye ndo anafanya niwe loyal
    Mahaba yake yananichanganya
    Staki mwingine
    Yeye ashanitouch kwenye moyo
    Midomo yake akinikiss mwa

    Si anapendaga kiuno kanipa mama
    Kanipa mama kanipa mama
    Na mi napenda shoo kampa baba
    Kampa baba kampa baba
    Anachopendaga kanipa mama
    Kanipa mama kanipa mama
    Ninachopendaga kampa baba (baba oh)
    Kampa baba (baba oh) kampa baba (baba oh)

    Información de la canción

    Composición: Yammi

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión