Unanichukia

Yammi

Continúa después del anuncio

Mhh upepo uvumao mashariki
Unipepee kwa magharibi
Na roho iponee
Labda ungesema kwa lipi ambalo sikufai
Na ukipata muda uje unione

Nimezana meli feli, shilingi inaelea aah
Au ule ujazo wa bahari umeshapungua
Kule kunipumba pamba kwa zawadi
Kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya
Panapo majaliwa
Siku tukija tena kuonana
Usisite kunisalimia
So kimya kimya kama mabubu ah tunapishana

Najua unanichukia
Ahh unanichukia ooh
Najua unanichukia
Ahh unanichukia, unanichukia ooh

Continúa después del anuncio

Macho yatazama mbali
Ila mi sioni mbele ukungu
Katu wa moja habebagi mbili
Hua nachekaga usoni, ya moyoni anajua Mungu

Nimezana meli feli, shilingi inaelea aah
Au ule ujazo wa bahari umeshapungua
Kule kunipumba pamba kwa zawadi
Kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya
Panapo majaliwa
Siku tukija tena kuonana
Usisite kunisalimia
So kimya kimya kama mabubu ah tunapishana

Najua unanichukia
Ahh unanichukia ooh
Najua unanichukia
Ahh unanichukia, unanichukia ooh

Información de la canción

Composición: Yammi

¿Los datos están equivocados?

Enviar revisión