Cifra Club

Ndoa

Zaddy Raydio

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Mmhh mmh mmh
Raydio!

Leoo ooh, dada mwenzioo leoo ooh funga ndoa
Ukoo ooh penzi mwenzio, ukoo ooh funga ndoa

Walitesa saana moyo wako, kukesha saana kuomba dua
Kumlianga sana mungu wako, kuchoka saana kuomba dua

Everyday everyday, baado ooh bado dua
Na today na today leoo ooh waka jua

Ona meli sasa ng'oa nanga
Kuvishana pete kwa kiwanja
Miaka nyingi tena ya baraka
Akupe baraka pia mama
Ona nguo nazo zabana
Aki baby shower twangoja
Ukifunga ndoa salama
Usisahau bado si tupo

Dada kaoe naan oa, oa, oa
Na mume mlishe naan ndoaa, ndoa, ndoa
Dada kaoe naan oa, oa, oa
Na mume mlishe naan ndoa, ndoa, ndoa

Mama shangilia mama shangilia ooohaeeh
Salma shangilia salma shangilia ooohaeeh

Miaka thelathini ajaoa aah, leo kampata mume
Dada walai usitie doa aah, leo kampata mume
Miaka thelathini ajaoa aah, leo kampata mume
Dada walai usitie doaa ah, leo kampata mume

Tunashangilia, tunashangilia, tunashangilia sotee
Tunashangilia, tukikuimbia, tunashangilia sotee

Dada kaoe naan oa, oa, oa
Na mume mlishe naan ndoaa, ndoa, ndoa
Dada kaoe naan oa, oa, oa
Na mume mlishe naan ndoa, ndoa, ndoa

Ndi musanyufu, we uwaowoo (am so happy, yes iam)
Wee uwaowoo, ndi musanyufu (yes i am, so happy)
Ndi musanyufu, we uwaowoo

Dada kaoe naan oa, oa, oa
Na mume mlishe naan ndoaa, ndoa, ndoa
Dada kaoe naan oa, oa, oa
Na mume mlishe naan ndoa, ndoa, ndoa

Umepanga tena yakuoa
Usipange tena ya kutoka
Umepanga tena ya kuoa
Usipange tena ya kutoka

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK