Chapati

Zuchu

Continúa después del anuncio

LG, aah LG
Mr. LG

Dullah, dullah, dullah
Anataka kula
Dullah hataki andazi, anataka kula
Dullah hataki viazi, anataka kula
Dullah, dullah, dullah anataka
Basi kitendawili (tega)
Kitendawili (tega)
Kitendawili (tega)
Kitendawili (tega)

Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini
Kitu flati kitu laini, katikati aliye na maini

Continúa después del anuncio

Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti

Eh, kwani umeiweka nini mi naipenda?
Kwani umeiweka nini mi naitaka hiyo?
Kwani umeiweka nini mi naipenda?
Kwani umeiweka nini mi naitaka?
Inateleza, tamu inateleza
Inateleza, tamu inateleza
Basi kitendawili (tega)
Kitendawili (tega)
Kitendawili (tega)
Kitendawili (tega)

Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini
Kitu flati kitu laini, katikati aliye na maini

Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti

The mix killer

Información de la canción

Composición:

¿Los datos están equivocados?

Envíanos una revisión