Cheche (feat. Diamond Platnumz)

Zuchu

    Continúa después del anuncio

    Hii ariro arioo rarari rarariri
    Iya iya iya eeh
    Tiyadi yadi
    Yadi yadi yadi

    Me amor teamo le te quero te quero
    Yaliyomo yamo
    Ujazo wa penzi kwa bero
    Mwenzako migulu chegele
    Kwa ndani naugulia kwa nje bwerere
    Sema upendacho utakula njegere
    Kinyama kurumagia au nkuchumie tembele
    Na bila huruma unanichuza mambo unayabaruza
    Mi mtoto unanikuuza we hayaaa!

    Unanichezesha kwaito wakorowaito
    You de give me banana yo love is tanana
    Nacheza kwaito wakorowaito
    My baby twachezeshana

    Continúa después del anuncio

    Che che (hee)
    Checherumba che chе (tunashikana shikana)
    Checherumba che chе (tunachezeshana)
    Checherumba che
    Che che che rhumbaa
    Che che (chee)
    Checherumba che che (zinatoka cheche)
    Checherumba che che (tukigusana gusana)
    Checherumba che
    Chee chee chee

    Eeh unapendaga chocolate (enhe)
    Mavanila nila (enhee)
    Tamtam sweety eti (enee)
    Nikichenga ka roger milla (enhee)
    Mbrroooke!
    Penzi koleza udi wa Dubai (alhabib)
    Huba lipambe moto
    Kama mafuta kwa karai okey
    Na ulivo katotorito toh
    Leo mpaka kokoriko ko
    Getoni kulamba mwiko ko
    Sakafu adi kwa tandiko ko korikoko
    Mama utaniua (nikomeshe)
    Ya leo kiboko (nikomeshe)
    Imezidi utamu (nikomeshe she she nkomeshe)
    Asa kukwacha we (ntawezaje)
    Niende kwa mwengine (ntawezaje)
    Jeuri sinaa jinsi twachezeshanaaa

    Che che (hee) checherumba (tunashikana shikana)
    Checherumba che che tunachezeshana
    Checherumba che che che che rumba
    Che che (chee)
    Che cherumba che (zinatoka cheche)
    Cche che checherumba (tukigusana gusana)
    Che che cherumba che
    Che che che

    Na kakara zako kinkirii (kinkiri kanka)
    Kinkiri kakararara
    Kinkiri kanka kinkiri
    Yo unanimalizagaa
    Eeh na kakara zako kinkiriii (kinkiri kanka)
    Venye unavyokinkiri (kinkirinka kinkiri oooh)
    Kinkirikanka ki ka kirinkaka

    Unanichezesha kwaito wakorowaito
    You de give me banana yo love is tanana
    Nacheza kwaito wakorawaito
    My baby twachezeshana

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión