Nani

Zuchu

    Continúa después del anuncio

    Eeh zombiee acha iyo!

    He one two one two eh maiki cheki (maiki cheki)
    Tunajump jump eh kama kitenesi
    Eh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi
    Na kama huna msambwandaa usingie kati (ayee)

    Alulue aluluee (alulue aluluee)
    Aah kama mtu hachezi mzabue (tumzabue tumzabue)
    Sema alulue alulueee (alulue aluluee)
    Kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)

    Continúa después del anuncio

    Eh nani anaweza kulicheza sagarumba
    Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
    Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
    Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
    Maftaaa ta mafta taa mafta taaa
    Yamemwagika yamemwagika yamemwagika
    Mpaka chini mpaka chini mpaka chini
    Amina amina na mwajuma
    Wanaringa hawa kima
    Kumbe wanauza
    Usiseme hivyo

    Kilode kilode kilodee
    Watoto wadogo wanataka nipotee
    Haa! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee
    Hee! Shindo langu mimi mjikusanye wote
    Haya sеma shkamoo dada (shkamoo dada)
    Shkamoo kaka (shkamoo kaka)
    Mniamkie shkamoo mama (shkamoo mama)
    Shkamoo baba (shkamoo baba)

    Alulue aluluee (alulue aluluee)
    Aah kama mtu hachеzi mzabue (tumzabue tumzabue)
    Sema alulue aluluee (alulue aluluee)
    Kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)

    Eh nani anaweza kulicheza sagarumba
    Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
    Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
    Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
    Aah twende maftaaa taa mafta taa mafta ta (yana nini)
    Yamemwagika yamemwagika yamemwagika (eti mpaka wapi)
    Mpaka chini mpaka chini mpaka chini (mamaaa)

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión

    Canciones relacionadas