Utaniua

Zuchu

    Continúa después del anuncio

    Eti-lah-lah-lah, lalalala, lala, lalaah
    Lah-lah, lalalala, lala, lalaah

    Nna hamu mwenzenu nna hamu kuyahadithia
    Oh nna hamu tena nna hamu kuyasimulia
    Utani kama utani tulianza kimasiara
    Sikudhani sikudhani yatafikia mahala
    Akiwa hapatikani hapaliki sijalala
    Kanifanya kitu gani? Mbona imekua mara?
    Dua la kuku menipata mwewe wallah nyinyi ni mtihani
    Hata makosa ayafanye yeye mimi ndo naomba samahani

    Ona anacheka kama mazuri
    Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
    Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri
    Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufuli

    Continúa después del anuncio

    Oh, baby mimi hapa taabani (wewe utaniuwa niuwa)
    Nimeoza dah yarabi sihemii (wewe utaniuwa niuwa)
    Ah, izo raha zakoo (wewe utaniuwa niuwa)
    Roho yangu mali yako (wewe utaniuwa niuwa)

    Tukikosa stuli ni sunna kula kwenye mkeka
    Unijue vizuri nikinuna mie ndo nadeka
    Husijedhani kiburi uniache nikaja kuchekwa
    Baby raha ya shughuli mkunwa awe na heka heka
    Oh husichokipenda wewe chunga na mimi husinifanyie
    Mgomba wangu mwenyewe eti ndizi nigombanie
    Nipe penzi nilewe umenizimiaa
    Ooh ringa kwangu upo mwenyewe kiboko yangu miee, oh vimbaa

    Ona anacheka kama mazuri
    Si anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
    Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri
    Na kwenye koma kaweka nukta kanitia na kufuriii

    Oh, baby mwenzako mimi twabani (wewe utaniuwa niuwa)
    Chagua mwenyewe unizike unishafirishe (wewe utaniuwa niuwa)
    Ah, izo raha zakoo (wewe utaniuwa niuwa)
    Roho yangu mali yako oh (wewe utaniuwa niuwa)

    Información de la canción

    Composición:

    ¿Los datos están equivocados?

    Enviar revisión

    Canciones relacionadas