Inueni vichwa vyenu, enyi wana wa Sayuni!
Mtukuzeni ukuu wa Mungu
Kwa nguvu Zake!
Msifuni wa Milele
Kwa baraka Zake zote
Na kwa yale yote bado ametutayarishia
Macho hayajayaona bado, ndiyo aliyotuandalia Mungu
Hivyo, Msifuni Bwana!
Ingia malangoni Mwake kwa shukrani
Na kwa sifa kwa heshima ya wa Milele
Msifuni Bwana!
Ingia malangoni Mwake kwa shukrani
Na kwa sifa kwa heshima ya wa Milele
Msifuni Bwana!
Msifuni Bwana!
Msifuni Bwana!
Msifuni Mungu katika patakatifu Pake
Msifuni katika anga, kazi ya uwezo Wake
Msifuni wa Milele!
Msifuni Bwana kwa maajabu Yake
Kwa furaha ya kuimba
Utukufu kwa Mungu wa Milele
Kwa baraka Zake zote
Na kwa yale yote bado ametutayarishia
Yale ambayo hakuna jicho lililoyaona
Msifuni Bwana!
Ingia malangoni Mwake kwa shukrani
Na kwa sifa kwa heshima ya wa Milele
Katika nyua Zake kwa sifa
Mshukuruni Yeye na liseni jina Lake
Msifuni kwa matendo Yake ya nguvu
Halleluya! Mungu ni mkuu!
Msifuni Bwana!
Msifuni Bwana!
Msifuni Mungu katika patakatifu Pake
Msifuni katika anga, kazi ya uwezo Wake!
Msifuni Bwana!
Msifuni Bwana kwa maajabu Yake!
Kwa furaha ya kuimba
Utukufu kwa Mungu wa Milele!
Msifuni Bwana!
Msifuni Mungu katika patakatifu Pake
Msifuni katika anga, kazi ya uwezo Wake!
Msifuni wa Milele!
Msifuni Bwana kwa maajabu Yake!
Ooh, oooooh
Kwa furaha ya kuimba
Utukufu kwa Mungu wa Milele!
Msifuni Bwana!