Cifra Club

Jipe (feat. Marioo)

Nadia Mukami

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Kamoyo kangu kachoyo
Ila kwako nimetulia
Nairobi mpaka bagamoyo
Anataka kunichumbia

Sasa nalishwa, navishwa
Naogeshwaa aah
Tena nalindwa napendwa
Yule si wa kuficha aah

Picha kule kule
Watapata taabu saana
Macho mbele mbele
Ananipenda saanaa aah

Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kikwetu

Aka kamoyo kangu nijipe (nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (nijipe)
Aka kamoyo kangu nijipe (nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (nijipe)

Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai (kweli)
Uh ndo nishazama usinipige kipapai honey
Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai (kweli)
Uh ndo ushakwama unachotaka sikatai honey

Najua bado huamini haya yamekua (yamekua ehh)
Acha siamini

Si Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kivyetu

Aka kamoyo kangu nijipe (nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (nijipe)
Aka kamoyo kangu nijipe (nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (nijipe)

Mapenzi malove nawe
Iwe shida au raha nitaponda nawe
Nataka kapicha nawe
Kumbusho pale tumetoka nawee

Siamini leo ni mimi nawe (uuh mama)
Ni mimi na wewe
Hizi pesa nitafute nawe (uuh mama)
Nitafute na wewe

Lemme call you my dear
This love is real not bandia
If I love you hutakimbia
'Cause my love is real not bandia

Si Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kivyetu

Aka kamoyo kangu nijipe (nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (nijipe)
Aka kamoyo kangu nijipe (nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (nijipe)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK