Amejibu kwa wakati, bwana
Amejibu haja ya moyo
Jamani Yesu, amefanya
Mimi ni kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (nimeitwa kuangaza, eh)
Mimi ni kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (nimeitwa kuangaza, eh)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (nimeinuliwa na bwana)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (nimeinuliwa na bwana)
Mimi ni kinara eh (kina)
Eeh kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (nimeitwa kuangaza, eh)
Mimi ni kinara eh (kina)
Eeh kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (nimeitwa kuangaza, eh)
Nimeinuliwa juu (juu sana)
Nimeinuliwa (juu sana)
Mimi ni wa juu (nimeinuliwa na bwana)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (nimeinuliwa na bwana)
Yesu eh, ameniinua, eh
Yesu eh, ameniinua, eh
Yesu eh, ameniinua, eh
Yesu eh, ameniinua, eh
Yesu eh, ameniinua, eh
Yesu eh, ameniinua, eh
Yesu eh, ameniinua, eh
Yesu eh, ameniinua, eh
Mimi ni kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (nimeitwa kuangaza, eh)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (nimeinuliwa na bwana)
Nimeinuliwa na bwana (juu sana)

Mimi kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (nimeitwa kuangaza, eh)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu (juu sana)
Mimi ni wa juu eh (nimeinuliwa na bwana)
Mimi ni kinara eh (kina)
Eeh kinara eh (kina)
Mimi ni kinara eh (nimeitwa kuangaza, eh)