He broke my heart on a Christmas Day
Ila huu mwaka sio machozi
Nisha pata mwingine
But it's hard to go through a Christmas Day
Bila kuwaza yalo pita
Japo yupo mwingine
Ku kumbuka sio kupenda
Na tena yupo atakaye futa kumbu kumbu
Ku kumbuka sio kupenda
Na tena yupo ay, ay, ay
Christmas Njema
Happy New Year
Hata hasira sina tena
Hata hasira sina tena
Tuli kutana January
Valentines in Mombasa February
July kanipeleka kwa wazazi
Nika dhani twapanda ngazi
Kumbe yuanitania
Kaweka kovu
Kwenye siku kama hii
Ku kumbuka sio kupenda
Na tena yupo atakaye futa kumbu kumbu
Ku kumbuka sio kupenda
Na tena yupo ay, ay, ay
Christmas Njema
Happy New Year
Hata hasira sina tena
Hata hasira sina tena
Ulini ya hidi mapenzi
Nishoe ukani pa kitenzi
Haya mapenzi ya kishenzi
Pona kumtendea mwenzi
Ulini ya hidi mapenzi
Nishoe ukani pa kitenzi
Akili leo ni sikukuu
Anita ruka ruka true
Christmas Njema
Happy New Year
Hata hasira sina tena
Hata hasira sina tena