Juliana we
Sijui nianzie wapi
Lakini kuna jambo nataka kukueleza
Yule bwana mimi naye tuna hadithi
Naye hucheza ule mchezo wa pata potea
(Do you remember)
Mimi na wewe ni marafiki toka zamani
Siwezi kukudanganya
Nia yangu kukulinda tokana na mwizi
(Wachana na mwizi)
Mwizi wa mapenzi
Mpita njia, mpita njia
Asante yake mateke
Kwako hatakaa milele
Kesho atapata mwingine
Akuage alivyo niaga
Pilipili, usiyoila yakuwashia nini?
Bahati yangu
Sio yako, hilo jua
Simply because a man couldn’t fall in love with you
(He couldn’t fall in love with you)
It doesn’t mean he can’t love me (he loves me)
Nakuonya tena mara moja ya mwisho
Tuache na amani
Mpita njia
Si mpita njia
(Ni mpita njia)
Dada yangu acha kelele
(Sio kelele)
Najua apenda?
Mpita njia
Safari yake imeisha
Kwani kwangu amefika
Endelea kujidangaya
Mpita njia
Ni mpita nia, atakuumiza
Mpita njia
Mpita njia, mpita njia
Asante yake mateke
Kwako hatakaa milele
Kesho atapata mwingine
Akuage alivyo niaga