Poa poa, sawa sawa
Poa poa, sawa kabisa
Mara ya kwanza ulipo ni wacha
Nili dhani nita fariki
Ulipo rudi hata siku sita
Nika ku karibisha tena
Wangu moyo ka vunja vunja
Mara ya pili ka nenda tena
Ika pita mda akaja
(Akanipa penzi tamu)
Kama asali
Anishika mkono
Nime tosheka
My baby loves me right
Mimi niko (poa poa)
Mumu yaku (sawa sawa)
Mimi niko (poa poa)
Mumu yaku (sawa kabisa)
Nilikua nisha zoea
Madharau na zako vituko
Uli dhani sito banduka
Lako kosa bwana sasa wa juta
Unaye muendea
Usi dhani ni tofauti
Usije uka danganyika
Kila binti ataka penzi tamu
Kama asali
Ashikwe mkono
Na atosheke
So you better love her right
Mimi niko (poa poa)
Mumu yaku (sawa sawa)
Mimi niko (poa poa)
Mumu yaku (sawa kabisa)
Mara kadhaa, nime ji uliza
Kama ntaja mpenda
Nilivyo kupenda, wewe
Bu I can tell
By the way he treats me
That love is on its way
And babe I'll be here waiting
I will be waiting
Nita suburi, uki ni ahidi
Uta ji tahidi
(Uta ji tahidi)
Niko poa!
Yaku sowa
Mimi niko (poa poa)
Mumu yaku (sawa sawa)
Mimi niko (poa poa)
Mumu yaku (sawa kabisa)