Haina manufaa
Tena kama sio riziki basi hailiki
Na tena iyonifaa (washa)
Mtake msitake ntabaki nae
Khaligraph Jones
Eh Watiaji wanabonga wakisema this and that (what)
Cause what we got they wish they had
Ni hiyo chuki imezidi ale nafaa tu
Mi kuachana na wewe haiwezekani mama
And that's real, nataka unielewe nikisema
I got you and that is one thing you should remember
So usibabaishwe na izi vitisho
Juu ni mimi tu na wee hadi mwisho
Oya mi sina batokotikanga
Alande langai mbongo nanga
Mbolingo nzote, amoure zote
Oya mi sina batokobwekanga
Simama bongo otongokanga
Bolingo ezate pambesi zate
Hey! Let's go!
Ya nini ya nini tunafuatana nini
Ndege majini ka samaki sijaona mimi
Ya kwangu najiamini
(They wanna hate let them try harder)
Kama ndoto si ya wawili
(Hayawahusu so girl don't bother)
Ya nini ya nini ozolandela nini
Nikinywa maji eti mbisi (na monate)
Yangali yasiowapi
(They wanna hate let them try harder)
Kama ndoto si ya wawili
(Hayawahusu so girl don’t bother)
Ya ya
Khaligraph Jones
Najua kuna
Wale wanataka tutengane juu ya wivu hasira na chuki
Najua kuna
Wale hawataki tupendane basi ishu walike harusi
Ndo wajue kwamba situachane juu tulianza ivi zamani uh
Natuma umenisikia my dear
Whenever you need me imma be right here
Tena Mungu katuleta pamoja nani atutenganishe
Mapenzi ya kweli waone waaibike
Mi na wewe kama chanda na pete
Wacha waseme tusonge mbelee
Oya mi sina batokotikanga
Alande langai mbongo nanga
Mbolingo nzote, amoure zote
Oya mi sina batokobwekanga
Simama bongo otongokanga
Bolingo ezate pambesi zate
Hey! Let's go!
Ya nini ya nini tunafuatana nini
Ndege majini ka samaki sijaona mimi
Ya kwangu najiamini
(They wanna hate let them try harder)
Kama ndoto si ya wawili
(Hayawahusu so girl don't bother)
Ya nini ya nini ozolandela nini
Nikinywa maji eti mbisi (na monate)
Yangali yasiowapi
(They wanna hate let them try harder)
Kama ndoto si ya wawili
(Hayawahusu so girl don't bother)