Cifra Club

Litawachoma (feat. Zuchu)

Diamond Platnumz

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
Mimi na wewe hadi milele
Komesha wachokozi wabaki kututazama
Tuwatoe jasho la nywele
Haa nimesikia habari
Eti kuna mtu twamkera
Ooh mwana akae tayari
Maana bado movie hili trailer

Na usiku nikumbate (ni tete te)
Ooh my babe boo (ni tete te)
Kwa ghetto ning'ate ng'ate (ni tete te)
You know I love you
Nikizidi ugomvi unichape (ni tete te)
Silaha rungu (ni tete te)
Kwenye joto nipepee (ni tete te)

Mwendani wangu
Penzi letu kwao fire
Na litawachoma sana
Mmh! Litawauma
Na litawachoma sana
Eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Ooh na hatuwachani
Na litawachoma sana
Mmhhm ada! Kinachotakasa nafsi

Huba si sabuni
Kwangu usiwe na wasi
Nishaacha uhuni
Ada! Kama moyo jiko basi
We ndo wangu kuni
Mapenzi soccer
Nipe pasi nitie nyavuni
Tena wasikutishe

Kwa jumbe zao za kata (kata)
Mi ndio kamati kuu
Hapa jimbo umepata (pata)
Mahaba ni tashtiti
Na baby unayajua
Siwezi fanya ya Shishi
Uchebe kukubutua
Waambie na ibilisi
Watu wanajisumbua
Ufupa kashindwa fisi
Wao paka utawaua

Dodo dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Nimeokota dodo
Litayemkera ni shauri zake
Simba nimelipata dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Oh mi mwenzenu toro
Litayemkera ni shauri zake

Na litawachoma
Na litawachoma sana
Mmh! Litawauma
Na litawachoma sana
Eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Ooh na hatuwachani
Na litawachoma sana
Asa baby nichezeshe ngondo

Ngondo, ngondo ingwango!
Ah tulicheze ngondo
Ngondo, ngondo ingwango!
Eh timbwili timbwili tutimbwilike
Ngondo, ngondo ingwango!
Ooh mpaka kupambazuke
Ngondo, ngondo ingwango!
Ai ngondo!
Wasafi

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK