Ozay bitch
Ice sengen
Watch gang
Watch young gang
Unaye mwamini anaweza kukuacha
Unaye mpenda anaweza kukuacha
Maisha ni siri hakuna waku yelewa
Ila ninachotaka tu kukwambia
We pambana utafika kwenye ndoto
Utafika kwenye ndoto
Kuna wakati watu
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Ngoja kwanza jiangalie
So kila kikaacho ni dhahabu
Unao wapenda wawo awakupendi
Unao watakia mazuri wawo ni mabaya tu
Ya layali ya layala
Wanatamani sana
Kukufanizia mabaya tu
Furaha yao nikukuona we uteseke
Furaha yao wawo walele
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza