Cifra Club

Mwanga

Evelyn Wanjiru

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu
Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu
Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Taa ya miguu yangu
Nuru ya njia yangu
(Wewe ni Mwanga wangu)
Nuru yang'a gizani
Giza halitoliweza
(Wewe ni Mwanga wangu)

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Taa ya miguu yangu
Nuru ya njia yangu
(Wewe ni Mwanga wangu)
Nuru yangu gizani
Giza halitaliweza
(Wewe ni Mwanga wangu)

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu
Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu
Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Na hatua zangu waziongoza
(Wewe ni Mwanga wangu)
Nitembeapo sitajikwaa ah
(Wewe ni Mwanga wangu)
Na hatua zangu waziongoza
(Wewe ni Mwanga wangu)
Nitembeapo sitajikwaa ah
(Wewe ni Mwanga wangu)

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Wewe ni Mwanga
Wa nyakati zote
Wewe ni Mwanga wangu

Angaza
(Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana)
Yeah angaza
(Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana)
Sema angaza
(Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana)
Eeeh angaza
(Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana)
Eeeeh
(Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana)
Angaza
(Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK