Cifra Club

Natlan

HOYO MiX

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Shambulia! Beba silaha
Pigana mpaka mwishowe
Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote
Rudi kwa pambaja ya dunia

Hadithi yaendelea (kama moto)
Heshima warithi vizazi (waka daima)
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimbia
(Rudini) ndugu, (rudini) mashujaa
Mara ya tena mwangani

Ati kweli mwahofuni kifo? (Hapana)
Ushujaa wenu ni imara (bila shaka)
(Kumbukeni majina ya mashujaa)
(Andameni uwanjani)

Kwa jamaa (zuri, safi) nchi (sawa) na taifa
Kwa (vuma) matumaini (raha) mbeleni (nguvu) malengo
(Rudini tunawangojeni)

Nyimbo kelele sana
Sikiliza zitakuongoza nyumbani

Hadithi yaendelea (ahh, ahh)
Heshima warithi vizazi
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimbia
Rudini (ndugu) rudini (mashujaa)
Mara ya tena mwangani

Maisha marefu ni sasa

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK