Aún no tenemos los acordes de esta canción. ¡Envíanoslos!
Yanaanza na shauku Kinachofua ni furaha isiyo na kifani Baada ya kujuana yanakuja mazoea Mazoea yakizidi yanasababisha kutoelewana Na pengine huleta ugomvi Na mara nyingi ugomvi huweza kusababisha uadui Mapenzi, this is the love album