Nimekwisha zoea (mmh)
Kusemwa semwa na watu
Aah Ya kwao hawayaoni
Leo kazi kusema ya watu
Basi leo nawambia
Maneno yenu sijali
Mtabaki ivyo ivyo
Ya kwangu yaninyokea
Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme
Leo Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme
Mie na wangu nyumbani (haloo)
Mambo yangu burudani
Aah masikio nimeziba leo
Sijali ya mitaaani
Kwangu nimemthibiti
Hasikii wala haoni
Kajaribuni kwingine
Hapa hamuoni ndani
Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme
Ooh Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme
Mamawe kinyaunyau kikia cha pweza
Wataka mambo hamtayaweza
Leo kinyaunyau kikia cha pweza
Wataka mambo hamtaya weza
Aah kinyaunyau kikia cha pweza
Wataka mambo hamtayaweza
Leo kinyaunyau kikia cha pweza
Wataka mambo hamtaya weza
Mie na wangu nyumbani (halooh)
Mambo yangu burudani
Masikio nimeziba
Sijali ya mitaaani
Kwangu nimemthibiti
Hasikii wala haoni
Kajaribuni kwingine
Hapa hamuoni ndani
Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme
Leo Wacha Wacha waseme
Watasema mchanaeeh
Usiku wata lala
Wacha Wacha waseme
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Wewee yaah
Walomba yeeh
Lombaah
Wayayayaa wayaya wayaya
Aah mama chanja mama chanja (eeh)
Mimi njaa yaniuma (kula)
Nnahamu nnahamu (eeeh)
Nyama chukuchuku (kula)
Na mboga ya kisamvu (eeh)
Ivi ukunahuku (kula)
Mama chanja mama chanja (eeh)
Mimi njaa yaniuma (kula)
Nnahamu nnahamu (eeh)
Nyama chukuchuku (kula)
Na mboga ya kisamvu (eeh)
Ivi ukunahuku (kula)
Wayayayaa wayaya wayaya
Aah mama chanja mama chanja (eeh)
Mimi njaa yaniuma (kula)
Nnahamu nnahamu (eeh)
Nyama chukuchuku (kulaa)
Na mboga ya kisamvu (eeh)
Ivi ukunahuku (kulaa)