Mhh Iyeiih
Mhh Ni Vampk
(Realtym musik) 254
Lalalalaa
Mhh
Sijifikirii
Kile ninawaza ni mapenzi ya TV
Iyeeiyeiyeeeh
We ndo habibi
Chombo chajiuza hauhitaji CV
Mhh
Nitukane ntavumilia
Ukitaka nipige
Bora usije nikimbia
Kuna kabet nimeekelea
We subiri tushinde
Dunia nitakubuyia
You are my kipande
Every Sunday I'll pray
Ili usiniache one day
Monday mpaka Friday
Ntaja nikukande
Hata kaweekend ntastay
(Mi amor)
Tabasamu lako ni dawa
Linaniponya
(Mi amor)
Sina mwingine ni wewe tu
(Mi amor)
Hisia zangu zinanipanda
Nikikuona
(Mi amor)
Sina mwingine ni wewe tu
Tabasamu lako
Na sura yako
Umbo lako, nimenogewa
(Nimenogewa)
Na sio vako
Nimedata kwako
Nipe siri zako, ntakuekea
(Ntakuekea)
Nina kuahidi, milele
Nitakushikilia
Na kwenye baridi
Nitakufunikia
Nitajitahidi mahitaji
Nieze kukutimizia
Hata ikibidi, nguo ntakufulia
You are my kipande
Every Sunday I'll pray
Ili usiniache one day
Monday mpaka Friday
Ntaja nikukande
Hata kaweekend ntastay
(Mi amor)
Tabasamu lako ni dawa
Linaniponya
(Mi amor)
Sina mwingine ni wewe tu
(Mi amor)
Hisia zangu zinanipanda
Nikikuona
(Mi amor)
Sina mwingine ni wewe tu
Tabasamu lako ni dawa
Linaniponya
(Mi amor)
Sina mwingine ni wewe tu
(Mi amor)
Hisia zangu zinanipanda
Nikikuona
(Mi amor)
Sina mwingine ni wewe tu