Cifra Club

Mwambie

Leteipa the King

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Nimechoka kumeza mate, wenzangu wakila nyama
Nachotamani anipakate
Awe mitchele niwe Obama
Siku hizi nimewa chizi
Kila muda nafikiria
Kile mi nitampatia aingie kwa box
Anajifanya busy
Hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo

Mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
Ntaacha dawa na pombe ili afurahie
Ntaenda Sunday kanisa Sadaka nimlipie
Nitajifanya sofa aje anikalie

(Aeaeaeaah) mwambie sitaki mwingine
(Aeaeaeaah) ni yeye tuuu
(Aeaeaeaah) nitampa chochote pengine
(Aeaeaeaah) hata nimpeleke majuu

Natamani niwe yake simu, anifinye kila saa
Awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir
Huwa nahisi wivu, rafiki wakimkumbatia
Wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli
Na nina maumivu, natamani kumuambia
Ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli

Mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
Ntaacha dawa na pombe ili afurahie
Ntaenda Sunday kanisa Sadaka nimlipie
Nitajifanya sofa aje anikalie

(Aeaeaeaah) mwambie sitaki mwingine
(Aeaeaeaah) ni yeye tuuu
(Aeaeaeaah) nitampa chochote pengine
(Aeaeaeaah) hata nimpeleke majuu

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK